Arsenal

Arteta hajakata tamaa ya ubingwa Uingereza

Joel JJ By Joel JJ
16 Feb 2023
Arteta hajakata tamaa ya ubingwa Uingereza

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amesema timu hiyo bado ina nafasi ya kushinda ubingwa msimu huu.

Arsenal jana ilipoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Man City na kushushwa hadi nafasi ya pili.

Kupoteza kwa Arsenal kumeipa City nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa EPL ikiongoza kwa pointi 51 sawa na Arsenal, City inaongoza kwa tofauti ya mabao.

"Bado wachezaji wana imani, mimi pia nahisi ubingwa, wanahisi kabisa wanaweza kutwaa." Alisema Arteta

Baada ya kuifunga Manchester United Januari 22, Arsenal ilikuwa juu kwa tofauti ya pointi tano dhidi ya City ikiwa na mchezo mmoja mkononi, lakini mpaka sasa imepata pointi moja tu katika tisa.

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
25m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
2h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
13h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
20h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
21h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →