Simba

Tuko tayari kuikabili Raja - Robertinho

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Feb 2023
Tuko tayari kuikabili Raja - Robertinho

Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Raja Casablanca ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 1 usiku

AKizungumza katika mkutano na wanahabari leo, Robertinho alisema anatambua wanakwenda kupambana na timu kubwa lakini hata Simba ni kubwa pia

Amesema jukumu la wachezaji wake ni kucheza kwa malengo na kufuata maelekezo, wanayo nafasi ya kushinda mchezo huo

"Ni mechi ngumu, Raja Casablanca ni timu kubwa kama tulivyo sisi, lakini tuna malengo. Kutokana na mipango yetu, tumejipanga kushinda"

"Tuna malengo ya kuvuka hatua ya makundi kwenda robo fainali, nusu fainali na hata kutwaa ubingwa inawezekana. Nimewaandaa vijana wangu kucheza soka safi ambalo litaambatana na ushindi," alisema Robertinho

Akizungumzia kukosekana kwa kiungo mkabaji Sadio Kanoute anayetumikia adhabu ya kadi tatu za njano, Robertinho amesema kukosekana kwa mchezaji huyo hakutaathiri kikosi chake

"Tutamkosa Sadio Kanoute lakini sina wasiwasi kwa sababu timu yangu ina wachezaji wengi. Hatuchezi kumtegemea mchezaji mmoja, nawaamini wachezaji 11 watakaonza watatupa matokeo ya ushindi"

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’