Mapema leo maofisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) walitembelea ofisi ya klabu ya Simba ambapo walipata nafasi ya kukutana na kuzungumza na viongozi wa Simba kuhusu mambo mbalimbali kuhusu klabu hiyo
Maafisa hao pia walipata nafasi ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa heshima wa klabu ya Simba Bilionea Mohemmed Dewji 'Mo'
Maafisa hao wapo nchini kwa ukaguzi wa maandalizi ya Africa Super League, Simba ikiwa miongoni mwa klabu zitakazishiriki michuano hiyo ikayofanyika baadae mwaka huu





