Geita - Ruvu

Geita Gold yaizamisha Ruvu Shooting

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Feb 2023
Geita Gold yaizamisha Ruvu Shooting

Jitihada za Ruvu Shooting kujinusuru na hatari ya kushuka daraja zimekumbana na dhoruba huko Nyankumbu Geita baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Geita Gold

Ulikuwa mchezo mzuri wenye ushindani mkali Geita Gold wakiendeleza ubabe wao katika uwanja wa nyumbani

Bashina Sayte, Geofrey Manyasi na Elias Maguli walifunga mabao ya Geita wakati Shaban Mgandila na Abdulrahman Mussa wakifunga mabao ya Ruvu

Geita Gold imeendelea kubaki nafasi ya tano katika msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 34 wakati Ruvu wanabaki nafasi ya 15 wakiwa na alama 17 alama moja mbele ya Polisi Tanzania inayoburuza mkia ikiwa na alama 16

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
1h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
5h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
5h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
6h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
7h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
7h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
8h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’