Transfer

Hersi ateta na Kinzumbi, amshawishi atue Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Feb 2023
Hersi ateta na Kinzumbi, amshawishi atue Yanga

Juzi baada ya mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya TP Mazembe uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-1, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alionekana akiteta na winga hatari wa TP Mazembe Fellipe Kinzumbi

Kinzumbi anayetumia mguu wa kushoto alikuwa mwiba kwa safu ya ulinzi ya Yanga kwani ndiye mchezaji aliyeonekana kuisumbua ngome ya Yanga iliyokuwa chini ya nahodha Bakari Nondo Mwamnyeto

Baada ya mchezo, Hersi alionekana akimpongeza nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 lakini pia akawa na mazungumzo nae ya faragha kwa muda mfupi

Moja ya mkakati wa Yanga kuelekea msimu ujao ni kuimarisha safu yake ya mawinga ambayo msimu huu imekuwa haina nguvu kubwa

Hersi anafahamika kwa kuwa na ushawishi mkubwa kwa wachezaji kutoka DR Congo, mpaka sasa Yanga ikiwa na wachezaji sita kutoka nchini humo

Mwanzoni mwa msimu huu Kinzumbi alikuwa na mgogoro na mabosi wake TP Mazembe akiwatuhumu kutaka kuongeza muda wa mkataba wake pasipo makubaliano

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
1h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
5h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
5h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
6h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
7h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
7h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
8h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’