Klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza haiuzwi kulingana na wamiliki wake isipokuwa kuongeza uwekezaji.
Henry Fenway Sports Group (FSG) ambao waliinunua timu hiyo 2010 waliwahi kuweka nia ya kusaka uwekezaji mpya.
"Tunauza Liverpool? Hapana haiwezekani" Alisema John Henry
FSG wanaongeza na wawekezaji kuangalia uwezekano wa kupata uwekezaji mpya
"Kuna kitu kitatokea naamini hivyo ila sio kuuza" aliongeza Henry.