Transfer

Kakolanya kuongeza mkataba Simba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Feb 2023
Kakolanya kuongeza mkataba Simba

Mlinda lango namba mbili wa Simba Beno Kakolanya yuko mbioni kusaini mkataba mpya kuendelea kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi, imefahamika

Kakolanya ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu huku kukiwa na taarifa za kipa huyo kuwaniwa na timu nyingine pia

Ukizungumzia makipa bora Watanzania, baada ya Manula anayefuatia ni Kakolanya

Habari za uhakika kutoka ndani ya uongozi wa Simba tayari mabosi wa Simba chini ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Salim Abdallah 'Try Again' wameanza nae mazungumzo ili kuhakikisha anasaini mkataba mpya kabla ya msimu kumalizika

Kakolanya amekuwa na wakati mzuri tangu aliposajiliwa na Simba akitokea klabu ya Yanga. Msimu huu amefanya vizuri katika mechi zote alizoanza kikosi cha kwanza

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’