Simba

Simba kusafirisha mashabiki Uganda

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Feb 2023
Simba kusafirisha mashabiki Uganda

Katika kuhakikisha wanapata sapoti ya kutosha katika mchezo wa ligi ya mabingwa ambao watacheza siku ya Jumamosi dhidi ya Vipers Fc huko Uganda, klabu ya Simba imewapa fursa mashabiki wake kusafiri na timu

Simba inahitaji kushinda mechi zote mbili (ugenini na nyumbani) dhidi ya Vipers Fc ili kufufua matumaini ya kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Msafara wa mashabiki unatarajiwa kuondoka siku ya Alhamisi na kurejea Jumapili baada ya mchezo dhidi ya Vipers Fc

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’