Mbeya City - Polisi Tanzania

Polisi Tanzania chali mbele ya Mbeya City

Joel JJ By Joel JJ
23 Feb 2023
Polisi Tanzania chali mbele ya Mbeya City

Bao la Tariq Seif liliihakikishia Mbeya City ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Polisi Tanzania walikuwa wenyeji wa mchezo huo ambao ulihamishwa kutoka uwanja wa Ushirika kutokana na uwanja huo kuwa na matumizi mengine

Sio matokeo mazuri kwa Polisi Tanzania ambayo inashika nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi

Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania Mwinyi Zahera amesema licha ya kipigo hicho hawawezi kukata tamaa, bado kuna mechi sita za kupambana ili kubaki ligi kuu

Kocha Mkuu wa Mbeya City Abdallah Mubiru amesema ni alama tatu muhimu kwao zilizowafanya wafikishe alama 27

Mubiru amesema malengo yao ni kuona wanamaliza katika nafasi tano za juu kwenye msimamo

Wanahitaji kupata angalau alama 10 kutoka mechi sita zilizosalia kuhitimisha msimu huu

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
17m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
12h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
21h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →