Manchester United yatinga 16 bora Ligi ya Europa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Feb 2023
Manchester United yatinga 16 bora Ligi ya Europa

Fred na Antony walikuwa mashujaa wakati Manchester United ilipoiondoa Fc Barcelona katika mchezo wa hatua ya 32 Ligi ya Europa Alhamisi usiku

Man United ilitokea nyuma kwenye mchezo huo uliopigwa dimba la Old Trafford na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1

Baada ya matokeo ya sare ya 2-2 kwenye Uwanja wa Camp Nou wiki iliyopita, wababe hao wa Ulaya walichuana vikali kwa mara nyingine kila timu ikionyesha dhamira ya kutaka ushindi ili kutinga hatua ya 16 bora

Ilikuwa mechi nzuri yenye hadhi ya pengine kuwa hata fainali, Manchester United wakafanikiwa kusonga mbele kwa ushinda wa jumla wa mabao 4-3

Barcelona walianza kufunga kupitia mkwaju wa penati uliopigwa na Robert Lewondowski kabla ya Fred kusawazisha na Anthony aliyetokea benchi kuongeza bao la pili

ADVERTISE HERE

More Stories

De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
8h ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
10h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
11h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
12h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
12h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
15h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
17h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
18h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
18h ago
READ MORE β†’