Chelsea

Potter na familia yake watishiwa maisha

Joel JJ By Joel JJ
25 Feb 2023
Potter na familia yake watishiwa maisha

Kocha wa Chelsea, Graham Potter amefichua kuwa alipokea vitisho vya kuuawa, lakini amesisitiza haikumuathiri kisaikolojia kwani analenga kubadilisha mwenendo wa klabu.

Potter alisema kuwa alishambuliwa kwa njia ya barua pepe baada ya mfululizo wa matokeo mabaya 

"Kama vile nimekuwa nikiungwa mkono nimekuwa na barua pepe zisizo nzuri sana ambazo zilinitaka kufa na kutaka watoto wangu wafe, kwa hivyo ni wazi kwamba hiyo haipendezi," alisema Potter

Potter yuko kwenye presha kubwa Stamford Bridge kufuatia kichapo cha 1-0 Jumamosi iliyopita dhidi ya Southampton inayoshika mkia kwenye Ligi Kuu ya England.

Timu yake, ambayo inashika nafasi ya 10 kwenye ligi, imeshinda mara mbili pekee katika michezo 14 iliyopita na imefunga bao moja nyumbani mnamo 2023.

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
3h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
3h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
3h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
3h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
5h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →