Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa kati ya Simba SC dhidi ya Vipers utakaopigwa Jumanne Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.
..... download Xtra 90 App



