Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Adel Amrouche kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'
Amrouche ni raia wa Ubelgiji ambaye ana asili ya Algeria. Ana uzoefu mkubwa wa soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za Taifa katika ukanda wa Kusini, Mashariki, Kati na Kaskazini
