PSG - Messi - Argentina - Barcelona

Wahuni washambulia duka la mke wa Messi Argentina

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Mar 2023
Wahuni washambulia duka la mke wa Messi Argentina

Polisi huko Argentina linawatafuta watu wawili wenye silaha walioshambulia duka la mke wa mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi, Antonela Roccuzzo (35) jijini Rosario, nchini humo

Tukio hilo limeripotiwa kutokea mapema Ijumaa alfajiri baada ya watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki kufyatua takriban risasi 14 kwenye madirisha ya duka hilo na kuacha ujumbe uliosemeka:

"Messi tunakusubiri wewe, Javkin ni muuza madawa ya kulevya, hatokusaidia"

Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi hakuna aliyejeruhiwa katika eneo la tukio ingawa kulikuwa na uharibifu uliofanyika kwenye duka hilo.

Pablo Javkin ambaye ni Meya wa Rosario ameripotiwa kufadhaishwa na tukio hilo huku akisema jambo hilo limeleta ongezeko la ghasia na wasiwasi jijini humo

Mpaka sasa, Messi pamoja na mke wake Antonela Roccuzzo hawajazungumzia tukio hilo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
8h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
15h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’