Yanga

Mashabiki Yanga waifanyia mazoezi Real Bamako

Joel JJ By Joel JJ
5 Mar 2023
Mashabiki Yanga waifanyia mazoezi Real Bamako

Mashabiki wa Yanga Jumapili hii Wameshiriki Wananchi jogging kujiweka sawa kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako ambao utapigwa Jumatano, March 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Jogging hiyo ilianzia Makao Makuu ya Yanga, Jangwani, ikapita Magomeni, Kigogo na kisha kurejea tena Jangwani

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema Wananchi wanaweka afya sawa ili kuhakikisha siku ya Jumatano wanashusha Full Shangwe pale uwanja wa Benjamin Mkapa

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu

1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20

Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru

2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake

Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga

Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”

3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2

4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo

15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0