PSG

Mbappe avunja rekodi ya mabao PSG

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Mar 2023
Mbappe avunja rekodi ya mabao PSG

Mshambuliaji wa PSG Kylian Mbappe amefikia mafanikio mengine katika maisha yake, akimpita Edinson Cavani kama mfungaji bora wa muda wote wa Paris Saint-Germain na bao lake la 201 dhidi ya Nantes kwenye Ligue 1 Jumamosi

Fowadi huyo wa Ufaransa aliifungia PSG bao la nne dakika za lala salama na kupata ushindi wa 4-2 na kuweka rekodi hiyo

Klabu iliandaa hafla fupi baada ya mchezo kumalizika, na picha kubwa ya Mbappe ikionyeshwa kwenye Parc des Princes

"Ni jambo la kipekee sana kuwa hapa. Mara ya mwisho nilipokuwa hapa ilikuwa ni kutangaza kubaki (kuongeza mkataba), ni heshima kuwa hapa kama mfungaji bora wa klabu," alisema Mbappe

"Ni bahati kuwa mchezaji wa PSG, kucheza katika jezi hii ya kihistoria, kwa klabu kubwa nchini Ufaransa"

Mbappe, 24, ameifikia rekodi ya Cavani katika mechi chache sana. Wakati raia huyo wa Uruguay alichukua mechi 301 kufikisha mabao 200, Mbappe alihitaji mabao 247 pekee.

Mzaliwa wa Paris, Mbappe alijiunga na PSG kutoka Monaco mwaka 2017 kwa ada ya uhamisho iliyovunja rekodi ya Euro milioni 180

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
32m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’