Genk - Tanzania

Samatta apiga mbili Genk ikipata sare ugenini

Joel JJ By Joel JJ
5 Mar 2023
Samatta apiga mbili Genk ikipata sare ugenini

Mshambuliaji Mtanzania Mbwana Samatta leo ameiongoza timu yake ya KRC Genk kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya St Truiden katika mchezo ambao Genk walikuwa ugenini

Samatta alifunga mabao hayo kwenye kila kipindi huku St Truiden wakilazimika kusawazisha mara mbili kupitia kwa Shinji Okazaki na Gianni Bruno

Ni matokeo ambayo yameendelea kuiweka KRC Genk kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na alama 67 baada ya mechi 28

Union Saint Gilloise inashika nafasi ya pili ikiwa na alama 57 baada ya mechi 27

Msimu huu Samatta ameifungia Genk mabao manne katika mechi 23 alizocheza

More Stories

Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
54m ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
57m ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
1h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
1h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
3h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
13h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
13h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
14h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
17h ago
READ MORE →