Liverpool

Salah mfungaji bora wa muda wote Liverpool

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Mar 2023
Salah mfungaji bora wa muda wote Liverpool

Mshambuliaji wa Liverpool raia wa Misri Mohammed Salah ameweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga magoli mengi katika Ligi Kuu ya Uingereza katika klabu ya Liverpool baada ya kufikisha mabao 129

Rekodi hii ilikuwa inashikiliwa na Robbie Fowler kwa muda mrefu akifunga mabao 127

Kabla ya mchezo dhidi ya Manchester United hapo jana ambapo Liverpool iliibuka na ushindi wa mabao 7-0,  Salah alikuwa na magoli 127,baada ya kufunga magoli mawili amefikisha magoli 129

Salah amekuwa na mwenendo mzuri wa kupachika mabao akitwaa tuzo ya ufungaji bora ligi ya Uingereza mara tatu

Msimu huu Salah amefunga mabao 19 katika michuano yote, mabao 11 kwenye ligi kuu na mabao nane kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’