Yanga

Fei Toto atinga TFF, aomba mkataba na Yanga uvunjwe

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Mar 2023
Fei Toto atinga TFF, aomba mkataba na Yanga uvunjwe

Baada ya mapitio 'review' ya shauri la mchezaji Feisal Salum 'Fei Toto' dhidi ya Yanga kugonga mwamba TFF,Β  leo Machi 6 nyota huyo ametinga ofisi hizo akiwa na barua ya kuomba kuvunja mkataba wake na Yanga.

Fei Toto ametinga TFF na Mwakilishi wake, Jasmine Razack ambaye alizungumza na waandishi wa habari na kueleza nia ya mchezaji huyo

"Ninaomba tuvute subira, leo Feisal kaleta ombi lake naimani kama litashughulikiwa na TFF, chombo pekee kinachoweza kuvunja mkataba wa mchezaji ni TFF," alisema Jasmine

Fei Toto amekuwa kwenye mvutano na klabu ya Yanga kwa takribani miezi mitatu sasa baada ya jaribio lake la kuvunja mkataba na klabu hiyo kugonga mwamba mara mbili

Mchezaji huyo kupitia Wawakilishi wake, ameweka wazi kuwa hataki tena kuitumikia Yanga hivyo hayuko tayari kurejea kunako klabu hiyo licha ya TFF kupitia Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuthibitisha kuwa Mkataba wake na Yanga ni halali

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
4h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
4h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
8h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
11h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
12h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
13h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
14h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’