Yanga

Yanga yamuita Feisal Avic Town

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Mar 2023
Yanga yamuita Feisal Avic Town

Wakati kiungo Feisal Salum akitua Ofisi za TFF mapema leo kuliomba Shirikisho livunje mkataba wake na klabu ya Yanga, uongozi wa klabu hiyo umemuandikia barua kumtaka aripoti kambini haraka

Kulingana na Taarifa kwa UMMA iliyotolewa na Yanga leo, klabu hiyo imeeleza kupokea Maamuzi ya Marejeo ya shauri linalomuhusu Feisal na hivyo kumuandikia barua mchezaji huyo arejee mazoezini kutekeleza matakwa ya mkataba wake ambao unamalizika May 30 2024

Kataika taarifa hiyo, Yanga imeeleza kuwa tayari kujadiliana na Feisal kwa ajili ya kuboreshea maslahi yake huku pia wakiwa tayari kumruhusu mchezaji huyo aondoke kwa kuzingatia sheria za uhamisho za TFF na FIFA

Kwa timu inayohitaji hudumu ya mchezaji huyo imetakiwa kufika mezani kwa ajili ya majadiliano

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
3h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
10h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’