Manchester United

Wataka Bruno avuliwe unahodha Manchester United

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Mar 2023
Wataka Bruno avuliwe unahodha Manchester United

Bruno Fernandes hapaswi kuwa nahodha wa Manchester United kufuatia kipigo cha aibu cha 7-0 Jumapili kutoka kwa Liverpool, anasema Chris Sutton, mchezaji wa zamani wa Chelsea na England.

Mreno huyo, ambaye anakaimu nafasi ya nahodha wa klabu hiyo badala ya Harry Maguire, alikosolewa kwa tabia na mtazamo wake katika mchezo huo.

"Kuna watu ambao wamehitimu zaidi kuwa nahodha, Fernandes sio kiongozi wao bora. kuna wanaofaa zaidi yake, Casemiro akiwa mmoja. Nadhani hapaswi kamwe kuvaa kitambaa tena kwa Manchester United" Sutton aliiambia BBC

Fernandes, mwenye umri wa miaka 28, ana mabao 57 na asisti 50 katika mechi 166 alizoichezea klabu hiyo katika michuano yote, lakini lugha yake ya mwili Anfield iliitwa 'fedheha' na nahodha wa zamani wa United Roy Keane

Nahodha mwingine wa zamani Gary Neville alisema mchezaji huyo anaaibisha nyakati

Katika mchezo huo pia Fernandez alionekana kumsukuma msaidizi wa mwamuzi katika dakika ya 81. Hakuna hatua iliyochukuliwa na mwamuzi wakati huo na tukio hilo halichunguzwi na Chama cha Soka

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
33m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’