Tanzania - Taifa Stars - Yanga - Simba - Azam

Amrouche atambulishwa Stars

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Mar 2023
Amrouche atambulishwa Stars

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemtambulisha Adel Amrouche kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa mkataba wa miaka mitatu

Juzi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilimtangaza Amrouche kuwa Kocha Mkuu wa Stars ambapo leo amesaini Mkataba mbele ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt.Pindi Chana na hivyo kufanyiwa utambulisho rasmi

Serikali ndio iliyomuajiri Kocha huyo na italipa gharama zote katika kipindi chote cha mkataba wake

Amrouche atasaidiwa na Hemed Morocco kama Kocha Msaidizi sambamba na makocha wengine ambao atakuja nao

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
32m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’