Yanga

Yanga dimbani dhidi ya Real Bamako kombe la Shirikisho

Joel JJ By Joel JJ
8 Mar 2023
Yanga dimbani dhidi ya Real Bamako kombe la Shirikisho

Leo majira ya saa 1 usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kikosi cha Yanga kitakuwa uwanjani kuikabili Real Bamako katika mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika

Ni mchezo wa raundi ya nne kundi D Yanga ikizihitaji alama zote tatu ili kuweka hai matumaini ya kutinga robo fainali

Baada ya kufanikiwa kuondoka na alama moja kule Mali, leo Yanga ina kazi moja tu, kuhakikisha inashinda ili kufikisha alama saba

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki wa timu hiyo kuhakikisha wamekata tiketi zao mapema mpaka sasa tiketi za VIP A zikiwa zimemalizika

Kamwe amesema leo wachezaji wanahitaji kuona 'vibe' zaidi ya lile waliloshuhudia katika mchezo dhidi ya TP Mazembe ambayo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-1

Kama Yanga itashinda leo na TP Mazembe kupoteza nchini Tunisia dhidi ys US Monastir, basi Yanga itahitaji kushinda mchezo utakaofuata dhidi ya US Monastir ambao pia utapigwa dimba la Mkapa ili kufuzu robo fainali

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
7h ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
8h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
10h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
10h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
11h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
11h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
12h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
12h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
12h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
14h ago
READ MORE →