Manchester United

Ten Hag amtetea Bruno, bado ni nahodha

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Mar 2023
Ten Hag amtetea Bruno, bado ni nahodha

Kocha wa Manchester United, Eric Ten Hag amesema kiungo Bruno Fernandez ataendelea kuwa nahodha wa timu hiyo pale ambapo beki Harry Maguire atakosekana uwanjani.

Ten Hag amelazimika kusema hayo kufuatia baadhi ya manguli wa soka kudai kuwa mchezaji huyo hastahili kuwa nahodha kutokana na tabia zake alizoonesha kwenye mchezo wa wikiendi iliyopita dhidi ya Liverpool.

Akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari jana kuelekea mchezo wa Europa League dhidi ya Real Betis Uwanja wa Old Trafford leo, Hag amesema ana furaha Bruno kuwa nahodha na kwamba kila mtu anafanya makosa.

"Ana kipaji nina furaha kuwa mchezaji wetu na nahodha pia," alisema Hag

Wiki iliyopita wachezaji wa zamani wa England, Chris Sutton na Gary Neville walimshukia kiungo huyo kuwa hafai kuwa nahodha baada ya kuonyesha tabia ambazo waliziita mbovu kwa kutowajibika na kumsukuma mwamuzi kwa ishara ya dharau

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
1h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
1h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
5h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
9h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
9h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’