KMC - Kagera Sugar

KMC kujitetea mbele ya Kagera Sugar leo

Joel JJ By Joel JJ
9 Mar 2023
KMC kujitetea mbele ya Kagera Sugar leo

Kikosi cha KMC Fc leo kitashuka katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa saa 16 00 jioni

Timu hiyo ya Manispaa ya Kinondoni chini ya kocha Mkuu Thierry Hitimana itawakaribisha Kagera Sugar katika mchezo ambao wanahitaji kushinda ili kujiondoa kwenye hatari ya kuteremka daraja

Kocha Msaidizi wa timu himu hiyo Ahmad Ally amesema kuwa kama benchi la ufundi limefanya maandalizi ya kutosha na kwamba kila mmoja yupo tayari katika mchezo huo na kusisitiza kuwa utakuwa na ushindani mkubwa kutokana na kwamba Kagera Sugar inushindani kwani hata kwenye msimamo wa Ligi wapo kwenye nafasi nzuri.

"Tunakwenda kucheza nyumbani lakini tutakuwa na mechi ngumu kwa kuwa tunapresha ya kukosa matokeo rafiki kwenye michezo yetu iliyopita, Ila tumejipanga kukabiliana na presha hiyo lakini pia kutumia vizuri uwanja wa nyumbani," alisema Kocha Ahmad

KMC leo itashuka uwanjani bila kiungo wake Baraka Majorogo ambaye ni majeruhi

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
3h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
3h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
3h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
5h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →