Simba

Simba kuifuata Mtibwa Sugar leo

Joel JJ By Joel JJ
9 Mar 2023
Simba kuifuata Mtibwa Sugar leo

Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es salaam leo Alhamisi kuelekea Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa Jumamosi March 11 katika uwanja wa Manungu Complex, Turiani

Meneja wa Habari na mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema wanakwenda mkoani Morogoro wakiwa na kikosi chao kamili, nyota wawili pekee wakibaki jijini Dar es salaam wakiwa ni majeruhi

Ahmed amewataja wachezaji hao ni Kibu Denis na Augustine Okrah ambao wanaendelea na program maalum za mazoezi

Ahmed amesema wamesahau shamrashamra za ushindi dhidi ya Vipers Fc sasa nguvu zao wanazielekeza kwenye ligi wakiwa katika mbio za kuwania ubingwa msimu huu

Simba inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na alama 54 nyuma ya vinara wa ligi hiyo Yanga wenye alama 62

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
3h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
3h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
3h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
5h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →