KMC - Kagera Sugar

KMC yazinduka, yaichapa Kagera Sugar 2-0

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Mar 2023
KMC yazinduka, yaichapa Kagera Sugar 2-0

Ligi Kuu ya NBC imeingia raundi ya 25 ambapo leo mchezo mmoja umepigwa kati ya KMC dhidi ya Kagera Sugar

Baada ya kucheza mechi nane pasipo ushindi, hatimaye KMC wamezinduka leo wakipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar

Mabao yote ya KMC yalifungwa na kiungo mshambuliaji Daruweshi Saliboko katika mchezo ambao KMC wanafurahia ushindi tu lakini hawakucheza vizuri sana

Ni matokeo ambayo yamerudisha imani ya kubaki ligi kuu kwa watoza ushuru hao kutoka Manispaa ya Kinondoni

KMC wamepanda mpaka nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi wakifikisha alama 26

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’