Manchester United - Real Betis

Tulianguka, tumerejea tukiwa imara - Ten Hag

Joel JJ By Joel JJ
10 Mar 2023
Tulianguka, tumerejea tukiwa imara - Ten Hag

Wakiwa wametoka kujeruhiwa vikali na Liverpool, Mashetani wekundu walisahau machungu ya kipigo na kuiadhibu vikali Real Betis kwenye mchezo wa ligi ya Europa 16 bora

Manchester United iliichabanga Real Betis mabao 4-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Old Trafford jana

Mashabiki wa Man United hawakutarajia kuiona timu yao ikiwa katika kiwango bora baada ya kufumuliwa mabao 7-0 na Liverpool siku chache zilizopita kwenye ligi ya Premia

Mkufunzi wa Man United Erik Ten Hag alionyesha kuwa na imani na kikosi chake na hakika pengine wangeweza kumaliza machungu kwenye mchezo huo kwani walitengeneza nafasi nyingi ambazo zingewapa zaidi ya mabao manne

"Muhimu ni vile tunacheza baada ya kupoteza, unaona hii sio mara ya kwanza tunafanya hivi msimu huu," Ten Hag aliiambia BT Sport

"Tayari imekuwa mara tano au sita, tunaweza kujipanga upya na kurejea tukiwa imara, hii ni dalili njema kwetu"

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
15m ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
29m ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
1h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
1h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
1h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
1h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
2h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
14h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
14h ago
READ MORE →