Yanga

Mwamnyeto arejesha makali yake Yanga

Joel JJ By Joel JJ
β€’
10 Mar 2023
Mwamnyeto arejesha makali yake Yanga

Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto amejumuishwa katika kikosi cha wiki kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya mechi za raundi ya nne

Mwamnyeto alionyesha kiwango bora katika mchezo dhidi ya Real Bamako uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa juzi na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0

Tangu arejeshwe kwenye kikosi cha kwanza Mwamnyeto amecheza mechi tatu za makundi kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe na mechi mbili dhidi ya Real Bamako

Mwamnyeto pia alitumika kwenye mechi ya ligi kuu dhidi ya KMC Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 na kombe la FA dhidi ya Tanzania Prisons uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Yanga ikishinda mabao 4-1

Mwamnyeto hakuanza vyema msimu huu akipoteza nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza kocha mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi akiamua kumrejesha Yannick Bangala kwenye safu ya ulinzi

Ni wazi kiwango chake sasa kimeimarika, kujumuishwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF ni ishara ya ubora alionao kwa sasa

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’