Manchester United

Kadi nyekundu kumuweka Casemiro nje mechi nne

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Mar 2023
Kadi nyekundu kumuweka Casemiro nje mechi nne

Kiungo wa Manchester United Casemiro anatazamiwa kukabiliwa na adhabu nyingine baada ya kupokea kadi nyekundu dhidi ya Southampton hapo jana

Alipewa kadi ya njano na mwamuzi baada ya kumzonga Carlos Alcaraz. Lakini uamuzi huo ulipitiwa na VAR na akapewa kadi nyekundu

Hii ni kadi nyekundu ya pili kwa Mbrazil huyo msimu huu baada ya kupata kadi nyekundu ya moja kwa moja dhidi ya Crystal Palace mnamo Februari

Mechi hii ilikuwa mechi ya pili ya Casemiro Ligi Kuu tangu kutumikia adhabu hiyo ya awali

Casemiro sasa atakabiliwa na adhabu ya kutocheza mechi nne kutokana na kadi nyekundu hiyo

Hii ni kwa sababu ni kadi yake nyekundu ya pili msimu huu, hivyo adhabu ya awali ya mechi tatu inaongezwa hadi nne.

Kufungiwa kwa kadi nyekundu hufanywa kupitia mashindano yote ya ndani, kwa hivyo itatumika kwa mechi zijazo za Kombe la FA na Ligi Kuu 

Mechi atakazokosa nu dhidi ya Fulham (H), Newcastle (A), Brentford (H) na Everton (H)

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’