Yanga

Nyota Yanga apokea Medali kutoka Hispania

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Mar 2023
Nyota Yanga apokea Medali kutoka Hispania

Mapema leo, mshambuliaji wa Yanga Kennedy Musonda amepokea zawadi ya medali kutoka kwa mtoto Lucas Gomez Usoz raia wa Hispania

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 8 anayeishi jiji la Madrid, alituma Medali hiyo kupitia ubalozi wa Hispania hapa Tanzania

Musonda amekabidhiwa medali hiyo leo na Balozi Jorge Moragas mbele ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said

Gomez alivutiwa na uchezaji wa Musonda wakati akiitumikia klabu yake ya zamani ya Power Dynamos FC ya nchini Zambia.

Hafla hiyo fupi iliyoandaliwa na balozi ilifanyika kwenye makazi yake eneo la Oyster bay, jijini Dar es salaam

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’