England

BBC yamuomba radhi na kumrejesha kazini Lineker

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Mar 2023
BBC yamuomba radhi na kumrejesha kazini Lineker

Shirika la Utangazaji Uingereza (BBC)  limemuomba radhi na kumrejesha mtangazaji wa kipindi cha 'Match Of The Day' Gary Lineker na kutangaza ukaguzi huru katika mwongozo wa mitandao ya kijamii

Awali BBC ilimsimamisha kazi Lineker kufuatia posti yake kwenye mtandao wa Twitter akiikosoa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza juu ya mpango wa Wizara hiyo juu ya Wahamiaji.

Waziri wa Mambo ya Ndani, Suella Braverman, alifichua mipango ya Serikali ya kuwazuia wahamiaji na wakimbizi ambapo Lineker alifananisha lugha iliyotumika kuweka mipango hiyo na "ile iliyotumiwa na Ujerumani miaka ya 1930".

Katika taarifa yake kufuatia BBC kuomba radhi, Lineker alisema anafurahi tumepata njia ya kusonga mbele na anatazamia kurudi hewani

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
2h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
2h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
3h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
6h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
10h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
10h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
11h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
12h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
13h ago
READ MORE β†’