Kikosi cha Tanzania kwa ajili ya kufuzu Afcon 2023

Joel JJ By Joel JJ β€’ 13th March 2023


Kikosi cha Tanzania kwa ajili ya kufuzu Afcon 2023

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambacho kitacheza mechi za kuwania kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda mchezo wa kwanza ukipigwa March 24

Miongoni mwa wachezaji waliojumuishwa kwenye kikosi hicho ni kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' aliye kwenye mgogoro na waajiri wake klabu ya Yanga tangu mwezi Disemba 2022


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.