Manchester City - RB Leipzig

Haaland apiga tano City ikishinda 7-0 ligi ya mabingwa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Mar 2023
Haaland apiga tano City ikishinda 7-0 ligi ya mabingwa

Erling Haaland alisawazisha rekodi ya Ligi ya Mabingwa kwa kufunga mabao matano na kuifanya Manchester City kutinga robo fainali mbele ya RB Leipzig kwa ushindi wa mabao 7-0 kwa mabingwa hao wa Uingereza na kupata ushindi wa jumla wa 8-1 Jumanne usiku

Haaland pia aliweka rekodi mpya ya klabu ya kufunga mabao 39 katika msimu huku vijana wa Pep Guardiola wakifika hatua ya nane bora kwa msimu wa sita mfululizo

City bado hawajashinda taji la Ligi ya Mabingwa, lakini hawajawahi kuwa na mshambuliaji wa ubora wa Haaland kuleta mabadiliko katika hatua za mwisho hapo awali

Akiwa na umri wa miaka 22 sasa ana mabao 33 katika mechi 25 alizocheza kwenye mashindano ya vilabu barani Ulaya

"Nguvu yangu kubwa ni kufunga mabao, mbinu ni kuwa na haraka akilini na kujaribu kuweka mpira mahali ambapo kipa hayupo," alisema Haaland

"Ninajivunia kucheza katika shindano hili, nalipenda, Mabao matano! Kushinda 7-0 ni ajabu!"

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
29m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’