Simba - Yanga - Azam - Taifa Stars - Tanzania

Simba, Yanga zapewa Ihefu, Geita Gold robo fainali FA

Joel JJ By Joel JJ
15 Mar 2023
Simba, Yanga zapewa Ihefu, Geita Gold robo fainali FA

Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imefanyika leo ambapo mabingwa watetezi Yanga wamepangwa kuchuana na Geita Gold katika mchezo utakaopigwa jijini Dar es salaam

Katika droo hiyo pia imeshuhudia klabu ya Simba ikipangwa dhidi ya Ihefu Fc wakati Azam Fc wakipangwa kuchuana na Mtibwa Sugar huku Singida Big Stars wakiumana na Mbeya City

Aidha, TFF wameweka hadharani viwanja ambavyo mechi za nusu fainali na fainali zitapigwa

Nusu fainali ya kwanza itachezwa uwanja wa Nangwanda Sijaona (Mtwara) na nusu fainali ya pili uwanja wa Liti (Singida). Fainali itachezwa katika uwanja wa Mkwakwani (Tanga).

Kwenye nusu fainali, Mshindi wa mchezo kati ya Yanga dhidi ya Geita Gold atachuana na mshindi wa mchezo kati ya Singida BS dhidi ya Mbeya City uwanja wa Liti

Wakati mshindi wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Ihefu Fc atachuana na mshindi wa mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Mtibwa Sugar uwanja wa Nangwanda Sijaona

Mechi za robo fainali zitapigwa kati ya April 01-06 2023

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
26m ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
1h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
3h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
3h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
4h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
4h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
4h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
4h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
5h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
7h ago
READ MORE →