Dance

Mwanamuziki Lokassa ya MBongo afariki Dunia

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Mar 2023
Mwanamuziki Lokassa ya MBongo afariki Dunia

Mkongwe wa kupiga gitaa la rhythm kutoka nchini DR Congo, Lokassa Kasia Dennis maarufu Ya M'Bongo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76, baada ya kuugua kwa muda mrefu nchini Marekani

Lokassa ambaye alikwa kiongozi wa bendi maarufu ya Soukous Stars, alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.

Kwa mujibu wa mtandao wa The Standard wa nchini Kenya, taarifa ya promota wa muziki wa Congo anayeishi Nairobi, Tabu Osusa, Ya Mbongo alikuwa akiugua magonjwa yanayohusiana na moyo.

Lokassa atakumbukwa kwa nyimbo nzuri ambazo alishiriki kuziandaa na kupiga gitaa kama Bonne Annee, Monica, Marie-Josse na Assitou

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
33m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’