Crytal Palace

Crystal Palace yamfuta kazi Vieira

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Mar 2023
Crystal Palace yamfuta kazi Vieira

Klabu ya Crystal Palace inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza imemfuta kazi Meneja Patrick Vieira baada ya kuiongoza kwa miezi 18.

Vieira ameondoka Palace baada ya michezo 12 bila ushindi katika mashindano yote, ushindi wake wa mwisho ukiwa dhidi ya Bournemouth kwenye mkesha wa Mwaka Mpya 2022

Palace walitupwa nje  michuano ya FA katika raundi ya tatu dhidi ya Southampton inayoshika mkia kwenye Ligi Kuu ya Uingereza, huku wakiporomoka hadi kufikia pointi tatu kwenye eneo la kushuka daraja

Mechi ya mwisho ya Vieira kuinoa Palace ilikuwa kupoteza 1-0 dhidi ya wapinzani wao Brighton, mchezo wa nne mfululizo ambapo klabu hiyo ya London kusini ilishindwa kufunga bao

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
35m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
19h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’