Ghana - Chelsea - Newcastle

Atsu azikwa Ghana

Joel JJ By Joel JJ
17 Mar 2023
Atsu azikwa Ghana

Nyota wa Ghana Christian Atsu (31) aliyefariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini Uturuki, amezikwa huko Ghana

Mazishi yake yamesimamiwa na Serikali na yakifanyika katika mji wa Accra

Mwili wa Atsu ulipatikana Februari 18 chini ya kifusi wiki mbili baada ya tetemeko kubwa la ardhi lililokumba nchi za Uturuki na Syria, February 06

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu

13m ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20

27m ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru

1h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake

Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga

Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”

2h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2

4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo

14h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0