AC Milan

Zlatan aweka rekodi Italia

Joel JJ By Joel JJ
19 Mar 2023
Zlatan aweka rekodi Italia

Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic amekuwa mfungaji mwenye umri mkubwa zaidi katika historia ya Ligi Kuu ya Italia ‘Serie A. Ibrahimovic, 41, alifunga bao la penalti katika mchezo wa ligi hiyo licha ya timu yake kupoteza mabao 3-1 dhidi ya Udinese jana.

Ibrahimovic aliisaidia Milan kushinda taji la Serie A msimu uliopita kabla ya kufanyiwa upasuaji majira ya joto kutokana na majeraha.

Hata hivyo, mkwaju wa penalti wa awali wa Ibrahimovic uliokolewa na kupigwa tena kufuatia baadhi ya wachezaji wa Udinese kuingia kwenye box kabla ya penalti hiyo kupigwa ambapo ni kinyume na sheria namba 14 ya upigaji wa penalti.

Bao hilo limemfanya mshambuliaji huyo, mwenye umri wa miaka 41 na siku 166, kupita rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Alessandro Costacurta (miaka 41, siku 25) kama mfungaji bora zaidi kuwahi kutokea Serie A

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
26m ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
1h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
3h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
3h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
4h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
4h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
4h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
4h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
5h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
7h ago
READ MORE →