Arsenal - Manchester City - Crystal Palace

Adebayor ahitimisha safari ya soka

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Mar 2023
Adebayor ahitimisha safari ya soka

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Tottenham Hotspurs, Emmanuel Adebayor ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 39

Akiwa nchini England Adebayor alizichezea timu za Arsenal, Manchester City, Tottenham na Crystal Palace. Alifunga mabao 97 ya Premier League kwa muda wote wa Spurs, Arsenal na Man City.

Fowadi huyo alikuwa na wakati mzuri katika vilabu vyake vingine, alishinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa Afrika mnamo 2008 wakati akiwa Arsenal.]

Pia alitawazwa mwanasoka bora wa mwaka wa Togo kwa miaka mitano mfululizo kati ya 2005 na 2009.

Adebayor alikuwa kwenye basi la timu ya Togo ambalo lilivamiwa na magaidi mwaka wa 2010 wakati timu hiyo ikielekea Angola kwa ajili ya michuano AFCON.

Watu watatu waliuawa na watu tisa kujeruhiwa katika shambulio hilo. Adebayor alitumia muda mwingi wa miaka yake nchini Uingereza, lakini pia alifurahia maisha yake nchini Ufaransa akiwa na Metz na Monaco mwanzoni mwa maisha yake ya soka

Pia aliwahi kuwatumikia miamba ya Hispania, Real Madrid mnamo 2011. Mara ya mwisho mshambuliaji huyo alikuwa na timu ya Semasi ya nchini kwao Togo.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
8h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
8h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
8h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
12h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
15h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
16h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
17h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
18h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
19h ago
READ MORE β†’