Simba

Chama ashinda goli la wiki Ligi ya Mabingwa Afrika

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Mar 2023
Chama ashinda goli la wiki Ligi ya Mabingwa Afrika

Bao la mpira wa adhabu lililofungwa na Clatous Chama wa Simba kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Horoya Ac limechaguliwa kuwa goli bora la wiki

Kwa upande wa mchezaji bora wa wiki, Mahmoud Kahraba ameshinda tuzo hiyo akipata kura asilimia 49 dhidi ya asilimia 43 alizopata Chama

Mpambanao ulikuwa mkali kwelikweli huko Twitter lakini ni wazi mashabiki wa Al Ahly walihamasishana dakika za majeruhi na kumuwezesha mchezaji wao kushinda

Klabu ya Simba imetoa wachezaji wanne katika kikosi cha wiki cha CAF, pia ikitoa goli bora la wiki

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
21h ago
READ MORE β†’