Manchester United

Muda wa kuwasilisha zabuni Man United waongezwa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Mar 2023
Muda wa kuwasilisha zabuni Man United waongezwa

Mmiliki wa Ineos Sir Jim Ratcliffe na Mwanabenki wa Qatar Sheikh Jassim wanatazamiwa kuwasilisha zabuni mpya za kuinunua Manchester United baada ya muda wa mwisho kuongezwa kutokana na ombi lao huku kukiwa na mkanganyiko

Wazabuni hao waliambiwa walikuwa na hadi 21:00 GMT siku ya Jumatano kuwasilisha zabuni za pili, zilizorekebishwa

Kulingana na BBC Sport, wawekezaji wengine kadhaa waliopendekezwa walitoa maoni yao yaliyopelekea kuongezwa muda

Haijulikani ni lini tarehe mpya ya mwisho itakuwa. Ratcliffe na Sheikh Jassim ndio wazabuni pekee waliotangazwa hadharani

Hapo awali Jumatano jioni kulikuwa na taarifa kutoka kwa vyanzo vya karibu kuwa wazabuni hao walikuwa wamewasilisha zabuni mpya.

Hata hivyo baadae imebainika kuwa waliomba kuongezwa muda zaidi ili kufanya maboresho ya ofa zao

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
8h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
9h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’