Tanzania - Taifa Stars - Yanga - Simba - Azam

Tiketi Elfu 10 zanunuliwa Stars vs Uganda

Joel JJ By Joel JJ
β€’
23 Mar 2023
Tiketi Elfu 10 zanunuliwa Stars vs Uganda

Jumla ya tiketi 10,500 zimenunuliwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya mashabiki kwenda kuisapoti timu ya Taifa ya Tanzania kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda ambao utapigwa Jumanne, March 28 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kampeni hiyo imeendeshwa leo ikimuhusisha Afisa Habari wa TFF Cliford Mario Ndimbo, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe na Afisa Habari wa Azam FC, Hashim Ibwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wameshiriki kwenye kampeni hiyo ya kuhamasisha mashabiki wamenunua jumla ya tiketi 4000

Wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa klabu za Yanga, Azam Fc na Simba wameshiriki katika kampeni hiyo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
3h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
3h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
3h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
7h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
10h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
11h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
12h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
13h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
14h ago
READ MORE β†’