England - Tottenham Hotspurs

Rooney ampongeza Kane kwa kuvunja rekodi yake

Joel JJ By Joel JJ
24 Mar 2023
Rooney ampongeza Kane kwa kuvunja rekodi yake

Wayne Rooney nyota wa zamani wa Manchester United na timu ya Taifa ya Uingereza, amempongeza Harry Kane kwa kuvunja rekodi ya kupachika mabao kwenye timu ya Taifa

Kane alifunga moja na mabao ya Uingereza jana katika mchezo wa kuwania kufuzu Euro 2024 dhidi ya Italia Uingereza ikishinda mabao 2-1

Kane alifikisha mabao 54 akimpiku Rooney aliyekuwa akiongoza na mabao 53

"Pongezi kwako Kane kwa kufanikiwa kuwa mfungaji bora wa muda wote wa England. Nilijua haitachukua muda mrefu lakini umeivunja rekodi kwa haraka kuliko ilivyotarajiwa, nakupongeza Harry," alisema Rooney

Kane amehitaji mechi 81 tu kuvunja rekodi ya mabao 53 ya Rooney aliyoweka katika mechi 120

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
2h ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
3h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
5h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
5h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
6h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
6h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
7h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
7h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
7h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
9h ago
READ MORE →