Tanzania - Taifa Stars - Yanga - Simba - Azam

Waamuzi Ligi Kuu kupigwa msasa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Mar 2023
Waamuzi Ligi Kuu kupigwa msasa

Mwenyekiti wa Chama cha Waamuzi Tanzania, Nassoro Hamdun, amesema wamejipanga kutoa semina tosha kwa waamuzi ili kuwaongezea ubora wao msimu ujao

Msimu wa 2022/23 wa Ligi Kuu Bara ambao umekuwa na ushindani mkubwa huku malalamiko kwa waamuzi yakiwa yamepungua kwa kiasi fulani, unatarajiwa kufikia tamati Mei 28, mwaka huu.

Hamdun amesema mafanikio ya ubora wa waamuzi msimu huu yametokana na umakini wa hali ya juu kuanzia Shirikisho la Soka nchini (TFF), Bodi ya Ligi (TPLB) na kamati ya waamuzi, hivyo wamepanga kuendeleza semina ili kuwaboresha zaidi waamuzi kuelekea msimu ujao wa 2023/24.

"Waamuzi wamekuwa bora msimu huu kutokana na umakini uliokuwapo kuanzia TFF, Bodi ya Ligi na Chama cha Waamuzi kwa kufuatilia mienendo yao ndani na nje ya uwanja ikiwa ni pamoja na kuwapa semina tosha za kuwataka wasimamie Sheria 17 za mchezo huo"

"Tumeandaa mikakati ya kuhakikisha waamuzi wetu wanakuwa bora zaidi msimu ujao na ili upate waamuzi walio bora kuchezesha soka ndani na nje ya nchi, wanatakiwa wapatiwe semina endelevu zitakazowasaidia kuwajenga ili kuwa imara," alisema

IPP Media

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
9h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
13h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
16h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
17h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
17h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
18h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
19h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’