Msafara wa kikosi cha Yanga umeondoka jijini Dar es salaam mapema leo kuelekea Lubumbashi DR Congo kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe
Mchezo huo utapigwa Jumapili, April 2 katika uwanja wa TP Mazembe. Wananchi wamekwenda Congo kusaka alama tatu ambazo zitawahakikishia kubaki kileleni mwa msimamo wa kundi D







