Tiketi za mechi ya mwisho Arsenal zapanda bei

Joel JJ By Joel JJ
β€’
30 Mar 2023
Tiketi za mechi ya mwisho Arsenal zapanda bei

Tiketi za mpambano wa siku ya mwisho wa Arsenal na Wolverhampton Wanderers zinauzwa kwa hadi £53,000 mtandaoni.

Kikosi cha Mikel Arteta kinaongoza Manchester City kwa pointi nane zikiwa zimesalia mechi 10 pekee msimu huu, huku mashabiki wa Arsenal wakihisi huu ndio mwaka wa kumaliza ukame wao wa miaka 19 wa ubingwa wa Ligi Kuu ya England.

Tiketi za mechi hiyo ya kuhitimisha msimu zimepanda thamani mashabiki wa Arsenal wakiamini watashuhudia tukio la timu yao kukabidhiwa kombe siku hiyo

Kwa mwenendo walionao Arsenal kwenye ligi, dalili ni njema upande wao kuwa wanaweza kutwaa ubingwa huo pamoja na kuwa bado wanakabiliwa na upinzani kutoka kwa Manchester City

ADVERTISE HERE

More Stories

Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
2h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
4h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
5h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
5h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
7h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
7h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
7h ago
READ MORE β†’
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
20h ago
READ MORE β†’
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
1d ago
READ MORE β†’
Chelsea na Manchester united katika vita ya alama tatu kesho Stamford Bridge
Chelsea na Manchester united katika vita ya alama tatu kesho Stamford Bridge
1d ago
READ MORE β†’