Transfer - International

Shaw aongeza minne Manchester United

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Apr 2023
Shaw aongeza minne Manchester United

Manchester United imetangaza kumpa mkataba mpya wa miaka minne mlinzi wa pembeni Luke Shaw, mkataba utakaomuweka klabuni hapo hadi Juni, 30 2027

Beki huyo ameichezea klabu hiyo mechi 249 tangu ajiunge nayo akitokea Southampton mwaka 2014

Ameshinda mechi 29 za kimataifa akiwa na England, akishiriki michuano ya Kombe la Dunia na Euro

"Miaka tisa iliyopita, nilisaini klabu hii ya ajabu, na ninafuraha kuongeza muda wangu wa kukaa. Nimekua sana tangu nije Manchester miaka hiyo yote iliyopita, kama mtu na kama mchezaji"

"Najua nini kinahitajika ili kufanikiwa katika klabu kama hii. Tuko mwanzoni mwa safari yetu chini ya meneja na wakufunzi wake. Tayari tumefanikiwa msimu huu, lakini tunataka mengi zaidi. Kuna fursa nzuri ya kuunda kitu maalum hapa, na nitatoa kila kitu kuwa sehemu ya hiyo," alisema Shaw

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
8h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
15h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’