Liverpool - International

Tuna hali mbaya - Klopp

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Apr 2023
Tuna hali mbaya - Klopp

Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp amekiri timu hiyo iko kwenye hali mbaya na hakuna suluhu la haraka

Sare ya bila kufungana na Chelsea jana iliwafanya majgoo hao wa Liverpool kupoteza mwelekeo zaidi katika jitihada zao za kumaliza katika nafasi nne za juu za Ligi ya Premia

Katika mahojiano na talkSPORT baada ya mechi, Klopp alisema wako katika nyakati ngumu sana

"Kwa kweli ni hali mbaya ambayo hakuna mtu anataka kuwa ndani lakini sisi tumo. Hii si nchi ya ndoto yetu"

"Sina shida ya kuficha ukweli, pengine kwa sababu nazungumza hadharani watu ni wazi hukasirishwa na kufadhaika kuhusu majibu yangu na siwezi kubadilisha hilo"

"Hatuna suluhisho la haraka kwani kama lingekuwepo, tungerekebisha. Hii ndiyo hali yetu na inabidi tukabiliane nayo kwa njia yetu. Baadhi ya vilabu vinaishughulikia kwa njia tofauti na klabu yetu inataka kuifanya tofauti. Tunapaswa kufanya hivyo, haina shida hata kidogo, tutatoka hapa," alisema Klopp

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
1h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
1h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
2h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
5h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
9h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
10h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
11h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
12h ago
READ MORE β†’