Simba - Local

Mechi dhidi ya Ihefu Mbeya ni tofauti - Robertinho

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Apr 2023
Mechi dhidi ya Ihefu Mbeya ni tofauti - Robertinho

Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira amesema pamoja na kuibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Ihefu Fc katika mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) uliopigwa uwanja wa Azam Complex juzi, wanatarajia kukabiliana na mechi nyingine tofauti dhidi ya Ihefu Fc huko Mbarali siku ya JUmatatu

Robertinho amesema ushindi waliopata Dar haupaswi kuwafanya 'wabweteke' kwani mechi ya pili dhidi ya Ihefu Fc itakuwa mpya na tofauti

"Ni kweli tumewafunga juzi lakini hii ni mechi nyingine, kuna dakika 90 mpya za kuthibitisha ubora uwanjani. Hata wao wataipitia mechi iliyopita kuona makosa waliyofanya na kujipanga upya nasi tumejipanga kutumia mbinu zetu kuhakikisha tunapata pointi tatu," amesema Robertinho

Simba ilitua Mbeya usiku wa kuamkia leo tayari kwa mchezo huo utakaopigwa Jumatatu, April 10 katika uwanja wa Highland Estates

Kikosi cha Simba leo kitakamilisha mazoezi ya mwisho kuelekea mtanange huo ambao Simba inazihitaji alama zote tatu ili kuendelea kubaki katika mbio za ubingwa

More Stories

Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
Klopp amchagua ter stegen, kipa namba moja ujerumani
1m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
29m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’